Chimbo La Vijana BrunchUsajili wa washirikiGood food · Great people · Good vibes
CHIMBO LA VIJANA BRUNCH
GOOD FOOD. GREAT PEOPLE. GOOD VIBES. BIG ENERGY.
Two days. One vibe. Endless memories.
Jiandae kwa BBQ tamu, watu poa na vibes zisizo na break! Ni muda wa kutoka na mabeshte, kufurahia good food, ku-connect na watu wapya, kudaka fursa na michongo na kutengeneza memories za maana.
Tarehe
24 & 25 OctoberMuda
12:00 PM - 12:00 AMMahali
Gymkhana Grounds, PostaCountdown ya tukio
09Siku
23Saa
16Dakika
26Sekunde
Usibaki kusimuliwa, pull up and be part of the vibe!
Jisajili sasa upate Coupon ambayo utaitumia kuingia venue na kupata nyama choma.
The vibes are calling. Wewe utakuwa wapi?
Usajili
Pata QR Code yako
Jaza taarifa sahihi. Tutakutumia tiketi yako kwenye email.
Jisajili sasa / Register now